Post: Wazazi waambiwa wawapeleke wanao shuleni hata kama kuna mgomo wa waalimu

Wazazi wamehimizwa kutofeli kuwapeleka watoto shuleni kutokana na mgomo wa waalimu unaoingia siku ya pili leo na kuhakikishiwa kuwa suluhu ya kudumu itapatikana na wanafunzi kurejelea masomo yao hivi punde.Kwa mujibu wa mkurugenzi wa elimu katika kaunti ya Nakuru Victoria Mulili, Wizara ya Elimu imeweka mipangilio maalum kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaoenda shuleni wanapokelewa vyema na kuendelea na masomo yao.Mulili aliendelea kusema kuwa tayari waalimu wakuu katika shule za upili ambapo waalimu wamegoma, wameshapokea ujumbe kushughulikia wanafunzi hadi pale hali hii itakapo rudi shwari.Aliwahimiza wanafunzi hasa wale ambao wanatarajia kufanya mtihani wa kitaifa mwisho wa muhula huu kujikaza kisabuni na kuendelea na masomo yao kwa sababu wana muda mchache uliosalia kuufanya mtihani huo.Miungano ya waalimu ya KNUT na KUPPET ilinuia kufanya mgomo wao kwanzia hapo jana lakini KNUT walijiondoa Jumapili jioni wakisema kuwa wameelewana na serikali kupitia kikao cha mazungumzo ya kwamba baadhi ya matakwa y ao yatashughulikiwa kikamilifu.Source: Kenya News Agency

Jetex Announces Opening in Sofia

Jetex Sofia is anticipated to welcome its first guests in Q4 2026. Dubai, Aug. 24, 2026 (GLOBE NEWSWIRE) — Jetex, the world’s leading luxury lifestyle brand, and SOF Connect have signed an agreement to develop and operate a VIP lounge at Vasil Levski Sofia Airport, the main international airport of Bulgaria and the sixth-largest international […]

SOUEAST Showcases S08 DM at Egypt’s North Coast Roadshow

ALAMEIN, Egypt, Aug. 14, 2026 (GLOBE NEWSWIRE) — Stretching from the vibrant Seashell North Coast to the exclusive Mountain View Ras El Hekma, Egypt’s North Coast is known as the “Pearl of the Mediterranean,” attracting visitors from around the world. As SOUEAST celebrates its first anniversary in the Egyptian market, the brand has kicked off […]

SOUEAST Showcases S08 DM at Egypt’s North Coast Roadshow

ALAMEIN, Egypt, Aug. 14, 2026 (GLOBE NEWSWIRE) — Stretching from the vibrant Seashell North Coast to the exclusive Mountain View Ras El Hekma, Egypt’s North Coast is known as the “Pearl of the Mediterranean,” attracting visitors from around the world. As SOUEAST celebrates its first anniversary in the Egyptian market, the brand has kicked off […]

iHerb célèbre 30 ans à rendre la santé et le bien-être accessibles avec une grande opération promotionnelle mondiale

Cette campagne anniversaire propose d’importantes réductions sur plus de 600 marques, tandis qu’iHerb étend sa plateforme d’achat à 46 langues, reflet de la demande mondiale croissante pour les produits de santé et de bien-être IRVINE, Californie, 13 août 2026 (GLOBE NEWSWIRE) — iHerb, l’un des principaux détaillants en ligne de vitamines, minéraux, compléments alimentaires et […]